Jumatano, 6 Aprili 2016

shabani kahaya  akiwa na furaha mbele ya jengo la Benjamini William Mkapa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa lushoto ambapo anasomea elimu maalumu ngazi ya digrii

 shabani kahaya akijiandaa na mtihani wa kidato cha sita hapa ni kichangani students centre iringa
 shabani kahaya akiwa katika pozi baada ya kutoka kichangani student centre iringa
 Ndugu shabani kahaya akiwa katika nyuso ya furaha pamoja na rafiki yake  katika mahafari ya dini ya kiisilamu yaliyofanyika iringa girls 2014
 Mbali na kutafuta elimu pia anajishughulisha na kilimo cha mahindi na maharage

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni